Ligi kuu ya soka ya Tanzania Bara iliendelea leo kwa
michezo kadhaa kupigwa nchini,Hapa JIJINI TANGA
Tanga kulikuwa na mchezo mkali na wa kusisimua kati ya
timu ya Coastal union Wagosi wa kaya wakipepetana na
Simba ya Dar-es-salaam almaarufu Wekundu wa Msimbazi.
Katika pambano hilo timu hizo zilitok suluhu.Mashambulizi
yalikuwa katika pande zote katika timu hizo.
kwingineko timu nyengine kutoka Tanga Mgambo shooting
ilipata kipigo cha bao moja kwa bila kutoka kwa KAGERA
Sugar ya Bukoba.

No comments:
Post a Comment