Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Saturday, February 7, 2015

Kocha wa Arsenal Arsen Wenger Amekiri kuwa Totenham walistahili
ushindi katika mchezo wa leo wa ligi kuu ya soka ya England.Timu hiyo
ya Arsenal Ilichapwa mabao mawili kwa moja na Totenham Hotspurs
ambao ni mahasimu wao wakuu.Mchezaji Mesut Ozil alikuwa wa kwanza\
kufunga goli la Arsenal na Mchezaji chipukizi wa Totenham Hotspurs
Harry Kane  alikomboa na Kuongeza jingine

No comments:

Post a Comment