Mechi mbaya kuliko zote zimeshuhudiwa uwanja wa Mkwakwani mjini
hapa leo katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Vodacom almaarufu VPL.
Katika mchezo huo uliowakutanisha Coastal union na Yanga ulikuwa
Mbovu kabisa kwa mashabiki.Baadhi ya mashabiki walisikika wakisema
ni bora wangefanya shuhuli nyingine yoyote kuliko kutoa viingilio vyao.
Yanga walipata goli katika kipindi cha kwanza kupitia mpira wa kurusha
kutoka kwa Mbuyu Twite na kumkuta Nadir Haroob Canavaro kichwani
na kupiga bao la kwanza.Baada ya hapo hakukuwa na mpira tena bali
Wazimu mtupu.Mgosi wa Sui Uasikitika na kuwaomba Radhi wote kwani
hata picha moja haikuwa na maana yoyote kutolewa humu.
No comments:
Post a Comment