Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Sunday, January 18, 2015

Sare zatawala Mkwakwani..Wagosi nao Watoa Suluhu


Ligi kuu ya Soka ya Vodacom Tanzania Bara Leo iliendelea
kutimua Vumbi katika Uwanja wa Mkwakwani Mjini hapa
kwa mchezo kati ya Coastal Union Na Polisi Moro.Mchezo
huo umeisha kwa Suluhu pacha ya bila kufungana.kwa matokeo
hayo Coastal wanajipatia jumla ya alama 13 sawa na Jirani
zao wa Mgambo shooting ya Handeni Tanga.

No comments:

Post a Comment