Add caption |
leo imeendeleza Wimbi la ushindi kwa kuwafunga timu ya Villa
Squad ya Dar-es-salaam kwa Ushindi wa bao moja kwa bila.
Goli la African Sports lilifungwa na Ramadhani Hamidu ama
mwanzo Mgumu baada ya Ali kagawa kupiga Penalt iliyopiga
mwamba na kumrudia mfungaji wa Goli hilo,Kwa matokeo hayo
African Sports inajizolea Point 35 na kubakiwa na michezo 5
huku mitatu ikiwa ya Nyumbani dhidi ya mpinzani wake wa jadi
Majimaji ya Songea timu inayotarajiwa kupanda daraja Msimu
huu pia.Jumatano African sports itavaana na Kimondo FC Ktk
uwanja wa Mkwakwani mjini hapa.Wapenzi na washabiki mkoani
Tanga wanasubiria kwa Hamu ujio wa Timu ya African Sports
ligi Kuuu baada ya takribani Miaka 24 ya kutoshiriki ligi hiyo.
No comments:
Post a Comment