Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Saturday, January 24, 2015

Safari ya Matumaini ya wana Kimanumanu Imetiwa Mafuta

Timu ya soka ya African Sports almaarufu wana kimanu manu
wako katika wakati mzuri sana wa kuelekea ligi kuu baada ya
wapinzani wao wakubwa majimaji ya Songea kufungwa mabao
matatu kwa moja na timu ya African Lyon ya Dar-es-salaam.
kwa matokeo hayo African sports inaongoza kundi kwa Tofauti
ya alama mbili huku Majimaji ikisafiri hadi Tanga kuja kupepetana
na African Sports katika kumalizia mchezo mmoja wa kundi.
kula la kheri wana kimanumanu

No comments:

Post a Comment