Timu ya soka ya African Sports almaarufu Wana Kimanumanu
Inaendelea Vema kwa Timu hiyo kuwafunga Kimondo FC ya
Mbeya kwa magoli mawili kwa Bila,Magoli yote ya African
Sports yamefungwa Kipindi cha pili cha mchezo na la kwanza
likipatikana dakika ya kwanza ya kipindi cha pili kwa njia ya
Penalti baada ya Ali Shiboli kuangushwa kwenye eneo la hatari.
Timu hiyo itacheza na Majimaji siku ya Jumatatu ambapo inaweza
kuamua Bingwa wa Mchezo.
No comments:
Post a Comment