Mgambo Shooting |
na Ushindi wa bao Moja kwa bila dhidi ya Stand united y
Shinyanga,Bao la Coastal Union limefungwa na Wambura
katika kipndi cha kwanza,Kwa matokeo hayo Coastal inapata
alama 16 katika msimamo,Kwingineko mgambo imepata Draw
dhidi ya JKT RUVU,Goli la mgambo likifungwa na Malimi
Busungu
Coastal Union |
No comments:
Post a Comment