Timu ya soka ya African Sports wana Kimanumanu
leo imefanya kweli katika uwanja wa Mkwakwani.
Timu hiyo leo ilichomoza na
ushindi wa magoli mawili kwa moja dhidi ya KMC
Ya Kinondoni Dar-es-salaam ambao wanatumia
uwanja wa Mkwakwani kama uwanja wao wa
Nymbani.
African Sports itasafiri hadi Dar-es-salaam
keshokutwa kuwakabili Villa Squad.
Kila la kheri African Sports.kila la kheri wana Kimanumanu
No comments:
Post a Comment