Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Thursday, January 15, 2015

Friends Rangers Yabariki Safari ya Matumaini ya African Sports

 FRIENDS RANGERS YAKUTANA NA KIPIGO KUTOKA KWA ASHANTI
KIKOSI CHA FRIENDS RANGERS...




 
Mambo yamezidi kuwa magumu kwa Friends Rangers inayowania kwa nguvu kubwa kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kuchapwa bao 1-0, leo.


Friends imechapwa kwa bao hilo na Ashanti United na kuwa timu ya pili kuivuta Friends.

Friends Rangers ilimaliza kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Villa Squad ya jijini Dar es Salaam pia.

Sare na kipigo, zinazidi kuiweka katika nafasi ngumu Rangersd ambayo kwenye kiungo inaongozwa na Haruna Moshi 'Boban' na Credo Mwaipopo.

Mechi nyingine ya ligi hiyo leo ni ushindi wa  mabao 2-1 ilioupata JKT Oljoro dhidi ya Burkina Faso ya Morogoro.

No comments:

Post a Comment