Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Thursday, January 29, 2015

SAFARI YA MATUMAINI IMEFIKA UKINGONI..MIAKA 25 Nje ya Ligi Kuu Imehitimishwa Leo,Kimanu Manu Yapanda LIGI KUU

Baada ya kukaa kwa takribani miaka 25 kuwa nje ya mashindano
makubwa ya mpira nchini,timu ya soka ya African Sports wana
kimanu manu leo imeweza kupanda rasmi ligi kuu ya soka kwa
matokeo ya michezo mingine nchini,
Michezo ilitoipandisha African Sports Ligi kuu ni ule wa LIPULI
ya Iringa iliyokuwa ikimenyana na KMC ya Dar katika uwanja
wa Mkwakwani,LIPULI Ilifungwa bao moja kwa sifuri na kuwafanya
kutoweza kuwafikisha alama 44 ambazo tayari African Sports wanazo
 tayari,Na kule mjini Songea TIMU YA MAJIMAJI ya SONGEA
leo ilipepetana na Friends Rangers ya Dar na matokeo yalikuwa ni
Majimaji kuongoza kwa bao moja kisha kuongeza jingine na Friends
Rangers wakaweka Mpira Kapuni.Kila la kheri wana KIMANUMANU

No comments:

Post a Comment