Mshambuliaji wa Zamani wa Arsenal almaarufu The gunners
Mfaransa Thiery Henry anatarajia kumaliza mkataba wake
wa kuichezea Klabu ya New York Red Bulls wa Miaka minne
na Nusu na kutarajiwa Kurejea kwenye klabu yake ya zamani
na iliyompa heshima kubwa ya Arsenal,Akizungumza na kituo
cha Television cha Sky sports Kocha wa zamani wa Henry aliyeko
Arsenal Arsen Wenger alinukuliwa akisema anaamini Henry atarejea
Arsenal siku moja ila hana hakika kama atarejea kama Mchezaji
ama kwa nafasi Ipi"Henry alipata mafanikio hapa kwetu na Nimekuwa
naye kwa takrinbani Miaka 20 katika Mchezo huu"najua nini anataka
na wapi anapaheshimu"alinukuliwa Arsenal Wenger na kumalizia
kusema kwa Umri wake wa Miaka 37 Henry sidhani kama anaweza
kuja kucheza Premier League labda arudi kwa nafasi nyengine,
na kuongeza ni Vizuri akatafakari vizuri maisha yake ya baadae
kuliko kukurupuka,Thiery Henry anahusishwa kwenda kuungana na
mchezaji mwenzake wa zamani katika kikosi cha Taifa la Ufaransa
Willy Sagnoli aliyeko Girondin Bourdex katika Benchi la Ufundi.

No comments:
Post a Comment