![]() |
| Wachezaji wa Mgambo Shooting wakiwa na Jezi |
![]() |
| Muonekano wa Mbele wa Jezi |
![]() |
| Muonekano wa Nyuma wa Jezi |
![]() |
| Kocha wa Mgambo Bakari Shime akiwa na Tshirt yake |
wiki hii Imezindua Jezi za mashabiki wake.Imezoeleka kwa timu
za Mitaani ama zenye wanachama wengi kama SIMBA,YANGA
AFRICAN SPORTS NA COASTAL UNION kuwa na taratibu
ama Kuthubutu kuuza jezi kwani kuna uwezekano wa kupata soko
kirahisi lakini Timu ya Mgambo Shooting imeonelea itengeneze.
Fulana hizo zitapatikana na Kambini kwao na kwenye Majeshi yote
ya Nchini Tanzania.na Pia kwenye maduka ya Tidaz Round About
ya Mkwakwani Stadium pamoja na Barabara ya Kumi.Pia zitauzwa
kwenye kila mechi ya Ligi kuu bara itakayozihusisha Coastal ama
Mgambo wenyewe na kwenye ligi daraja la kwanza Itakapocheza
African Sports.Bea ya Tshirt moja ni Tshs.20,000/=




No comments:
Post a Comment