Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Wednesday, December 31, 2014

Mashabiki Ndio Chachu ya Mafanikio Yetu..Van Gaal

Luis Van Gaal Akiwapungia Mashabiki
Kocha mkuu wa Manchester United Luis Van Gaal aliyechukua
mikoba kwa Kocha mwengine wa timu hiyo mapema mwaka huu
David Moyes amesifia mashabiki wa Timu hiyo na kusema kwamba
wao ndio siri kubwa ya timu hiyo kufanya Vizuri msimu huu,Kocha
huyo Mholanzi alisema Tulianza msimu vibaya kwa matokeo yasiyo
tarajiwa kutoka kwa Leicester City,Swansea na Matokeo mabaya
zaidi ya kipigo cha mabao 4 kwa bila kutoka kwa MK Dons,lakini
mashabiki hawakuonyesha kukata tamaa na Kocha huyo na Mipango
yake.Mashabiki hao waliofikia Kupaisha Ndege yenye Bango linalosema
Chaguo Bovu na baya Moyes,Toka Old trafford.ni matokeo mazuri
kwa nusu mwaka,alisema Moyes ambaye mara ya Mwisho kupoteza
mchezo ilikuwa dhidi ya Manchester city November 2 mwaka huu,
Kitu muhimu kwetu mpaka sasa ni hali ya mashabiki kujiamini na
uwezo wa wachezaji kupambana uwanjani.Tunaongeza kiwango kila
wiki na tutauona mwaka mpya kwa macho angavu,Van Gaal amesema
matatizo ya Maumivu kwa wachezaji yanaendelea vizuri kwa kurudi
kwake Chriss Smalling,Rafael da Silva pamoja na Luke Shaw isipokuwa
wanakosa Ubora wao wa kucheza mechi jambo ambalo litaondoka
tu,wakati huo huo Ander Herera na Adnan Januzaj wamerejea Mazoezini.
Goli kutoka kwa Maroun Fellaini na Jingine kutoka kwa Juan Matta
yalishuhudia United ikitoka na Alama zote tatu dhidi ya Stoke city mwanzoni
mwa mwezi December na yangeweza kuwa zaidi ya hayo,Tunacheza
vizuri sana Ugenini ingawa Bosi msaidizi wangu Ryan Giggs amesema Stoke
sio mahala pa urahisi kucheza.Kocha huyo wa zamani wa Uholanzii
amepata Uzoefu wa mara ya kwanza wa kucheza wakati wa X-MASS
na mwaka mpya lakini bado amesisitiza sio jambo zuri kucheza ndani
ya masaa 48,Kila mtu anajua huwezi kurudisha nguvu ndani ya masaa 48
lakini bado tunapaswa kucheza,Sio nzuri kwa wachezaji na timu pia
angalia Vipindi vya pili vya mechi yetu na Spurs,na ile ya Chelsea na
Southampton.Lakini Van gaal alimalizia mkutano wake na waandishi
wa Habari kwa kuelezea jinsi anavyopenda Vyakula,Mivinyo na maisha
ya Uingereza kwa ujumla.Maisha ya Uingereza ni Bomba sana,Nimekutana
na marafiki tu Barabarani,mtaani na kwenye Migahawa,Kila mtu wakati
nkuja hapa aliniambia chakula ni kibaya hapa lakini nimekipenda na
majirani wangu ni wazuri,Nawapenda wachina

No comments:

Post a Comment