CHELSEA
wameshinda 5-0 ugenini dhidi ya Schalke katika mchezo wa Kundi G Ligi
ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia leo mjini Gelsenkirchen, Ujerumani.
Mabao
ya The Blues yamefungwa na John Terry, Willian, Jan Kirchhoff
aliyejifunga, Didier Drogba na Ramires. Ushindi huo wa Chelsea
inayofundishwa na Mreno Jose Mourinho, uhaihakikishia timu hiyo kwenda
hatusa ya mtoano.
Kikosi
cha Schalke kilikuwa; Fahrmann, Uchida, Santana, Neustadter, Howedes,
Kirchhoff/Clemens dk46, Hoger, Choupo-Moting, Boateng/Meyer dk64, Aogo
na Huntelaar.
Chelsea;
Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Fabregas/Schurrle dk78,
Matic, Willian, Oscar/Ramires dk75, Hazard na Costa/Drogba dk66.
Wachezaji wa Chelsea Wakishangilia Mabao yao
Diego Costa aliyesimama na Oscar aliyelala wakilisakama Lango la Schalke 04
No comments:
Post a Comment