Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Sunday, October 12, 2014

Safari ya Matumaini ya Wana Kimanumanu Imeanza

Bango la Mtokeo likisomeka
 Hayawi hayawi yamekuwa,Hatimae Wana kimanumanu wameanza
safari yao yao ya kuitafuta Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara kwa kasi
ya Ajabu balaa,Ilikuwa ni Striker hatari mwenye makeke na Nguvu
za Kuzaliwa Gurudumu aliyewainua wapenzi wa Soka wa Tanga
African Sports wakitoka kushangilia Bao
 Hususani wana Kimanu manu ambao waliingia kwa Wingi sana
pamoja na Mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha mjini hapa,African
Lyon ilianza kwa kasi Mchezo huo ikizingatiwa walikuwa walitoka
Uholanzi kwenye kambi ya Mwezi mzima ili kujiandaa na Ligi hii.
Mendy akimpisha Ramadhani hamidu
 Kitu pekee kilichowabeba African Sports ni Umri wao
Pamoja na mafunzo yao kutoka kwa waalimu wao,
Ramadhani Hamidu Aliyelelewa Eagle Academy
 Mechi hiyo ilikuwa na wasiwasi mwingi kwa wapenzi wa
African Sports kwani mara kadhaa walishindwa kupanda
ligi kutokana na mambo mbali mbali yaliyo nje ya uwezo wao

Musa Chambega Kutoka Kituo Cha Eagle Academy
 African Sports wanatarajia kuwashushia kipigo
siku ya Jumatano Timu ya Lipuli ya Iringa
Nyota ya Mchezo Gurudumu
 Kila la kheri AFRICAN SPORTS
KILA LA KHERI TANG
Khalfani Kigozi aliyelelewa Eagle Academy

No comments:

Post a Comment