Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Sunday, October 12, 2014

Rooney Anyemelea Record Kibao Timu Ya Taifa Ya England

Mshambuliaji wa Manchester United na Timu ya Taifa
ya England Wayne Rooney na Ambaye pia ni Captain
wa Timu ya Taifa ya ENGLAND na Club ya Manchester
United Anaiendea Rekodi iliyowekwa na Bobby Charlton
ya kuwa Mfungaji wa wakati wote wa Nchi kwa magoli 49
Wayney Rooney kwa sasa ana magoli 42 huku akiwa ana
miaka 28 tu hivyo kumfanya kuwa na nafasi nzuri ya kuifikia
record hiyo,Akizungumza na waandishi wa Habari Rooney
alisema kuwa Yeye anaona hiyo Rekodi ni Nyepesi sana
kwake kwani hana mpango wa Kustaafu kwa sasa na
hivyo kuwa na nafasi ya kuvunja Record Nyingine ya Nchi
ya kuwa mchezaji aliyecheza michezo mingi nchini England
kwa sasa Ana michezo 99 wakati recrd inashikiliwa na Mchezaji
wa ndani ni David Beckham aliyecheza Michezo 116 michezo
pungufu 17 kulingana na Rooney,Wakati Rekodi ni Mechi 125
ambayo inashikiliwa na Mlinda Mlango wa Zamani wa England
Peter Shilton.

No comments:

Post a Comment