Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Saturday, October 11, 2014

Kocha Mpya Mgamboa aanza kazi Yawasambaratisha Prisons,

Heka Heka Katika Mchezo
 Timu ya Soka ya Mgambo Shooting ya Kabuku
Hadeni Tanga Jana Ilicheza mchezo wa Kirafiki
Mkali na wa Kusisimua na Timu ya Small Prisons
 ya Maweni Tanga katikaUwanja wa Jeshini Kange
 Tanga.mchezo huo ulioanza majira ya Saa kumi jioni
Cholo katika heka heka
 Ulikuwa ni kwa ajili ya Kocha mpya wa Timu hiyo Kessy
Abdallah anayechukua Mikoba ya Bakari Nyundo Shime
anayeenda masomoni kwa Kipindi cha Wiki Mbili kuanzia
kesho jumapili tarehe 12 mwezi huu,Katika Mchezo huo
Mgambo walionyesha kuwa wao kiukweli wako ligi kuu baada
ya kuwazidi sana timu ya Prisons katika dakika zote tisini za
Mchezaji wa Prisons akipandisha Socks
 Za mchezo,Kocha mpya alipata matumaini
na timu hiyo ya Mgambo japo amesema kuna
mapungufu kidogo ya kuyafanyia kazi kwa muda
huu ligi iliposimama kupisha michezo ya kimataifa.
Heka heka za Cholo
Hadi kufikia Mwisho wa Mchezo huo Mgambo shooting
ilishinda kwa Ushindi wa Mabao mawili kwa bila majibu
kutoka kwa Small Prisons,

No comments:

Post a Comment