| Bakari Shime Nyundo |
Bakari Nyundo Shime Ametangaza Rasmi Kuachana
na Timu hiyo ifikapo mwishoni mwa wiki hii na
itakuwa wiki moja kabla ya timu yake ya Mgambo
haijakutana na Wagosi wa Kaya Coastal Union
katika mpambano mkali wa Ligi Kuu ya Soka ya
Vodaco Inayoendelea Nchini kwa sasa,Kocha Huyo
amemteua Kessy Abdallah Shefah Mpasha mawaidha
wa Eagle Academy pamoja na Timu ya Shimiwa Mkoa
wa Tanga,Katika matokeo ya Karibuni Timu hiyo ya
Mgambo Shooting Ilijikuta ikiangukia Pua kwa Kupokea
Vichapo Kutoka kwa Stand United Mchezo uliochezwa
katika uwanja wa Mkwakwani Mjini Tanga,kisha wakasafiri
mpaka Turiani Morogoro walipokumbana na Kipigo kutoka
Mtibwa Sugar ya Huko,Kocha huyo anatarajiwa kwenda
Masomoni kwa Kipindi cha Wiki Mbili hali iliyopelekea
kuteua kocha wa Kumshikia Kazi hiyo,..
No comments:
Post a Comment