Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Monday, January 12, 2015

Safari ya Mapangoni Yaibeba Mgambo Dhidi Ruvu Shooting

Kikosi cha Mgambo Mapangoni

Kiungo mahiri Wa Coastal Ally FUDU Akiwa na mtalii mwengine

kikosi cha Mgambo


Timu ya Soka ya Mgambo shooting ya Handeni mjini Tanga
Jana Imeisambaratisha Timu ya Ruvu Shooting ya Pwani,ktk
mchezo mkali uliopigwa katika Dimba la Mkwakwani Tanga.
Mvhezo huo wa Ligi kuu ya Soka ya Vodacom Tanzania Bara
umeifanya Mgambo kufikisha Pointi 12,Goli la Mgambo
lilifungwa na Nahodha wake Fulmence Maganga katika Kipindi
 cha kwanza cha mchezo huo.Mgambo inajiandaa kupambana
na Prison ya Mbeya wiki ijayo katika mchezo mwengine wa ligi
hiyo.Awali ya yote Mgambo ilifanya Ziara ya Kutembelea
mapango ya Amboni kama Utalii wa Ndani na Kujipumzisha
akili kabla ya Mchezo.

No comments:

Post a Comment