![]() |
Manuel Pellegrini |
yanayomhusu kiungo wake wa Kingereza Frank Lampard
kuhusiana na mkataba wake wa kujiunga City kutokea New
York City FC,Ijumaa timu zote hizo zilikiri kufanya kosa ktk
ripoti inayohusiana na Mkataba wa Frank Lampard.
Mkanganyiko huo ulifanya Lampard atoe taarifa kwa Vyombo
vya habari inayosema kuwa nililetwa kwa mkopo wa mpaka
January hapa Manchesteer City,mkopo ambao umeongezwa
hadi juni mwaka huu ambapo ndio nitaondoka kwenda New
York City FC.Kwa maana hiyo basi mzozo umefungwa.Frank
yupo hapa najua kuna maneno mengi sana kuhusiana na yeye.
Kitendo cha Yaya Toure kwenda kwenye mashindano ya Africa
kimeelezwa kuwa ndio sababu kuu ya Lampard kubakishwa
katika timu.Akiulizwa mstakabali wa Frank baada ya kipindi
hiki cha mkopo,elegrim alisema,Frank anafanya Vizuri sana hapa
kama mchezaji wa zamani na wa kulipwa,ni mfano mzuri kwa
wachezaji wachanga.Lakini mwisho wa msimu itakuwa ndio
mwisho wa mkataba wake,sijajua nini kitaendelea lakini nikisema
hivyo mtasema kuna kitakachoendelea.
No comments:
Post a Comment