Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Saturday, January 10, 2015

De Gea Ataendelea Kukipiga Man United-Van Gaal

De Gea
Kocha wa Manchester United,mholanzi Louis Van Gaal
ametabanaisha kuwa pamoja na kufanya Usajili wa kipa
wa Kihispaniola aliyekuwa amemaliza mkataba wake na
Barcelona Victor Valdes.Victor Valdes baada ya kumaliza
mkataba wake Barcelona alipata majeraha ya Mguu na
kumfanya kukosa timu ya kuchezea kwa takribani mwaka
mmoja na alikuwa akifanya mazoezi yake katika timu hiyo
ya Manchester.Awali Victor Valdes alicheza mechi yake
ya kwanza kubwa ya kimashindano akiwa chini ya Louis
Van Gaal wakati huo akiinoa Barcelona.Nafikiria hakuna
tatizo kwa De Gea kusajili Mkataba mwengine hapa United
ukiwa unacheza mara kwa mara inakuwa rahisi kupandisha
kiwango na kocha kukutupia macho,na Valdes aliyesaini
mkataba wa miezi 18 ameonywa kuwa ana kazi ngumu
kumpiku mpinzani wake huyo mdogo katika kuwania Namba
Hakuna mtu anapenda kuwa namba mbili kwa hiyo Valdes
ajitahidi kutafuta namba,De Gea amejijenga sana kwa
kipindi cha miezi sita niliyokuwa hapa,Nafurahishwa sana
na Maendeleo yake,Alisema Van Gaal

No comments:

Post a Comment