Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Monday, January 5, 2015

Liverpool Nayo Yasonga Mbele F.A Cup


Liverpool imetinga nusu fainali ya Capital One baada ya kuitwanga Bournemouth kwa mabao 3-1.

Sasa inakwenda nusu fainali na itakutana na Chelsea, mshindi kati yao anasonga fainali itakayopigwa kwenye Uwanja mkubwa zaidi England wa Wembley.



Mshambuliaji kinda, Raheem Sterling ndiye alikuwa shujaa kutokana na kupiga hadi pasi 51, lakini akafunga mabao mawili muhimu.

Bournemouth: Boruc 6, Francis 6, Elphick 5, Cargill 5.5, Smith 6, Ritchie 6.5, Gosling 5.5, O'Kane 5.5 (Pitman 81), Stanislas 5 (Fraser 54mins, 6), Wilson 5.5, Kermorgant 5 (Arter 53, 6)

Subs not used: Camp, Cook, Daniels, MacDonald
Goals: Gosling 57
Manager: Eddie Howe 5 
Liverpool: Jones 7, Toure 7, Skrtel 7, Lovren 7 (Sakho 45, 7), Henderson 7, Gerrard 7 (Borini 90), Lucas 7, Markovic 7.5, Coutinho 7.5 (Can 74), Lallana 7, Sterling 8
Subs not used: Lambert, Moreno, Manquillo, Mignolet
Goals: Sterling 20 & 51, Markovic 27
Manager: Brendan Rodgers 7.5 
MOTM: Sterling 
Referee: Mark Clattenburg 8
Attendance: 11,347 






No comments:

Post a Comment