| Wachezaji
wa Azam FC, Joseph Kimwaga kulia na John Bocco na Frank Domayo kushoto
wakiwa na Daktari Nicolas aliyewafanyia upasuaji na matibabu kwa ujumla
ya majeruhi yao nchini Afrika Kusini, Wachezaji hao walikwenda
Johannesburg wiki iliyopita kufanyiwa uchunguzi na wanatarajiwa kurejea
nchini Alhamisi, baada ya Dk Nicolas kusema wamepona kabisa. |
No comments:
Post a Comment