Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Friday, December 5, 2014

RONALDO ALAMBA TUZO NYINGINE YA DUNIA

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameendelea kujivunia heshima kubwa kwenye kwenye soka, kufuaria kupatiwa tuzo nyingin, ambayo ni ufungaji hodari wa mabao duniani. Tuzo yake ya sasa inatoka Shirikisho la Kimataifa la Historia ya SokaFifa kwa Kufunga magoli Mengi katika Msimu wa 2013-2014,Mshambuliaji huyo wa Zamani wa Sporting Lisbon,Manchester United na Timu ya Taifa ya Ureno ambayo kwa sasa ni Nahodha na Anakipiga katika Kilabu cha Real Madrid.Cristian Ronaldo anatarajiwa Kutangazwa mchezaji Bora Duniani mapema Mwakani.
Christian Ronaldo Akiwa Na Tuzo Zake

Cristian Ronaldo katika Heka Heka

No comments:

Post a Comment