![]() |
| Luis Van Gaal |
Usajili wa Kufuru katika Dirisha Dogo la Usajili msimu huu kwa
Kutenga Kiasi cha Paundi Million 150 kwa ajili ya Kuimarisha timu,
Timu iyo imepanga kuwanunua Nathaniel Clyne Kutoka Southampton
Kevin Strootman wa As Roma na Beki Kisiki wa Borusia Dortmund
Matt Hummels,Timu hiyo ambayo iko Vizuri kwa sasa inajipanga kufanya
mambo makubwa kabla ya Msimu kuisha kwa kutafuta Ubingwa ama
Nafasi ya nne kwa ajili ya Champion League Mwakani

No comments:
Post a Comment