Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Saturday, October 18, 2014

Wagosi Waua..Kocha wa Mgambo aingia Kininja Tanga

Timu ya Soka ya Wagosi wa kaya Coastal union ya Tanga
Leo wamefanya mauaji katika uwanja wao wa Nyumbani
Mkwakwani kwa Kuibamiza Timu ya Mgambo ya KABUKU
Kwa mabao mawili kwa Bila..Goli la Kwanza lilifunngwa na
Ramadhani Salum kwa Mkwaju wa Penalt,na La pili lilipatikana
Kipindi cha Pili na Masumbuko hivyo kuwafanya Wagosi wa
kaya kujizolea Points zote tatu kutoka kwa Mgambo.

No comments:

Post a Comment