![]() |
| Bango linaloonesha matokeo |
Jana waliwakonga wapenzi na washabiki waliojitokeza katika
uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga kwa Kuwabamiza timu ya
Polisi Dar kwa Mabao mawili kwa Moja katika Mchezo safi na
wa Kusisimua,Polisi Dar ndio waliokuwa wa Mwanzo kufunga
Goli katika Kipindi cha kwanza
| Wachezaji wa African Sports wakiwa Kazini |
kusawazisha Goli hilo likiwekwa kimiani na Striker wao hatari
Gurudumu ambaye kwa Goli hilo anafikisha Goli la Pili katika
michezo mitatu,
Kwa ushindi huo African Sports wanafikisha Alama 7 kwa mechi
tatu,Timu hiyo ya Wana kimanumanu kesho inaelekea Dar-es-salam
kuminyana na Mbabe mwengine Friends Rangers ya Dar-es-salaam
katika mchezo utakaojulisha nani ataongoza Kundi hilo..
Kila la kheri African Sports..Kila la Kheri Tanga

No comments:
Post a Comment