Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Wednesday, October 22, 2014

Safari ya Matumaini ya wana Kimanu manu Yaingia Mashaka

Timu ya Soka ya African Sports ya Tanga almaarufu
wana Kimanu manu Jana ilipata kipgo cha kwanza
katika ligi daraja la kwanza inayoendelea Nchini kwa
kubamizwa mabao mawili kwa moja na Timu ya Ashanti
United ya Dar-es-salaam,Timu hiyo ya African Sports
inayojikusuru kupanda Daraja kwa mara ya kwanza ktk
kipindi cha Miaka 24 tokea iliposhuka ilicheza mchezo
safi ila Uzoefu wa wachezaji ndi ilikuwa kikwazo chao
kikubwa kupata ushindi katika mchezo huo.
Ligi hiyo inatarajia kuendelea leo na kesho,katika Uwanja
wa Mkwakwani mjini hapa TESEMA Watapepetana na
JKT Mlale ambapo Tesema wameomba kuutumia Uwanja
huu wa Mkwakwani...

No comments:

Post a Comment