Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Friday, December 5, 2014

Rooney Ahamie kwenye Uimbaji


Timu ya Soka ya Manchester United Juzi ilijimwaga Stejini kukaribisha
Shamra shamra za Sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya,Katika
sherehe hizo mchezaji Wayne Rooney aliye majeruhi na Mkewe ndio
walikuwa Kivutio kikubwa..Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Wachezaji
wote wa Manchester United.

No comments:

Post a Comment