Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Sunday, December 21, 2014

Liverpool..Arsenal Ngoma Draw

Patashika

Rodgers

Ligi kuu ya soka ya England leo imeendelea kutimua Vumbi
kwa mchezo wa wiki kati ya Arsena na Liverpool,Timu hizo
ambazo zote hazijatumbukia kwenye Nne bora mpaka sasa
zilipambana vilivyo katika Dimba la Anfield lakini bila mafanikio
kwa kutoka sare ya goli moja kwa moja.Ilikuwa ni liverpool
iliyoannza kupata bao kupitia kwa Coutinho kabla ya Arsenal
kusawazisha dakika mbili baadae kupitia Debuchy.

No comments:

Post a Comment