MASHABIKI ARSENAL 'WAMTIMUA' KWA MABANGO WENGER
Mashabiki wa Arsenal fc walionekana na mabango yanayomshkuru Wenger na wakati huo kumshinikiza aondoke katika timu hiyo kutokana na kutokuwa na jipya katika timu hiyo,mashabiki hao ambao waejitoa mhanga walipeperusha bango hilo katika viwanja vya Emirates

Baadhi
ya mashabiki wa Arsenal wakiwa wamening'iniza bango linalopendekeza
kocha Arsene Wenger aondoke baada ya mwanzo mbaya msimu huu
No comments:
Post a Comment