Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Thursday, October 23, 2014

Kocha Mchepuko Mgambo Abwaga Manyanga

Kessy Abdallah Sheffah
Kocha Wa Muda wa Mgambo Shooting FC Ya Tanga Kessy Abdallah Sheffah,aliyechukua mikoba ya Bakari Nyundo Shime aliyeko masomoni Dar-es-salaam na yeye ameitelekeza Timu hiyo na kutimkia masomoni Mjini morogoro hivyo kuifanya timu hiyo ya Kabuku Handeni Tanga kubaki bila kocha,Hali hiyo inafanya pambano lake dhidi ya Ndanda FC Ya mtwara kuwa Gumu kwani Ndanda nao hawatakuwa na mwalimu wao Mkuu waliomtimua Wiki iliyopita kutokana na matokeo yasiyoridhisha.Makocha hao wawili SHIME NA KESSY Ni waumini wazuri sana wa Kusoma hivyo linapokuja swala la kusoma huwezi kuwaambia kitu,Kessy Abdallah aliiongoza Mgambo Mechi moja tu Dhidi ya Coastal union wagosi wa Kaya na Kupoteza pambano hilo lililokuwa kali na la kusisimua,
Mgambo ililala kwa mabao mawili kwa Bila

No comments:

Post a Comment