Mgosi wa Sui

Mgosi wa Sui

Saturday, December 20, 2014

Villa yapata Point ya Kwanza Villa Park tokea mwaka 1995

Radamel Falcao akishangilia Bao


Benteke akishangilia Bao

Timu ya soka ya Aston Villa leo imeibana mbavu timu
inayorudia Ubora wake Manchester united kwa draw
ya bao moja kwa moja.Manchester united ambayo
iliingia uwanjani kutafuta ushindi wa saba mfululizo
ilishuhudia Nyota wake kazaawakirudi uwanjani ikiwamo
mfungaji wa bao hilo Radamel Falcao.Villa ndio wa kwanza
kufunga bao la kwanza kupitia kwa mshambuliaji wake
Rafael Benteke katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Manchester united ilisubiria mpaka kipindi cha pili kupata
bao la kusawazisha kupitia mshambuliaji wake aliye kwa
Radamel Falcao.Villa alipata pigo kwa mchezaji wake
kupata kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mbaya
Mchezaji aliye form kwa sasa Ashley Young.Kwingineko
Manchester City wamepata ushindi mnono wa Mabao
3-0 na kuzidi kujikita katika nafasi ya pili ya Ligi hiyo.
Kesho Arsenala na Liverpool.

No comments:

Post a Comment